tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Tarehe 16 Machi ni siku ya 75 ya mwaka (ya 76 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 290.
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Hilari na Tasyani, Papa wa Seleukia, Juliani wa Ainvarza, Eusebia wa Hamay, Heribert wa Cologne, Yohane wa Brebeuf, Yosefu Gabrieli wa Rozari n.k.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 16 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.