From Wikipedia, the free encyclopedia
Ziwa Kivu ni moja kati ya Maziwa makubwa ya Afrika. Liko mpakani kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda, katika tawi la magharibi la Bonde la Ufa.
Ziwa Kivu | |
---|---|
Picha ya ziwa kutoka angani (kwa ruhusa ya NASA). | |
Anwani ya kijiografia | 2°0′S 29°0′E |
Aina ya ziwa | Rift Valley lakes, Meromictic |
Mito ya kutoka | Ruzizi River |
beseni | km2 2 700 (sq mi 1 000) |
Nchi za beseni | Rwanda, Democratic Republic of the Congo |
Urefu | km 89 (mi 55)[1] |
Upana | km 48 (mi 30)[1] |
Eneo la maji | km2 2 700 (sq mi 1 040)[1] |
Kina cha wastani | m 240 (ft 787) |
Kina kikubwa | m 480 (ft 1 575) |
Mjao | km3 500 (cu mi 120) |
Kimo cha uso wa maji juu ya UB | m 1 460 (ft 4 790) |
Visiwa | Idjwi |
Miji mikubwa ufukoni | Goma, Congo Bukavu, Congo Kibuye, Rwanda Cyangugu, Rwanda |
Maji yake yanatoka kupitia mto Ruzizi unaoelekea kusini hadi ziwa Tanganyika.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.