Remove ads
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mjao (kwa Kiingereza volume) unaeleza ukubwa wa gimba la hisabati (mchemraba, tufe, mcheduara) kwa kupima nafasi ya yaliyomo yake.
Hupimwa katika vizio vya ujazo kama mita ujazo (m³) au sentimita ujazo (cm³).
Kila gimba lenye urefu, upana na kimo huwa na mjao.
Alama yake ni V.
Hali halisi ni kwamba nje ya hisabati kuna njia mbili za kuangalia mjao wa gimba:
Kadirio ya mjao ni Urefu x Upana x Kimo.
mchemraba mwenye urefu wa ukingo "a":
mchemstatili mwenye urefu wa kingo "a", "b" na "c":
mcheduara au mche mwenye eneo la kitako "A" na kimo "h":
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mjao kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.