![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/0/0c/Bathymetric_map_of_Sea_of_Galilee.jpg/640px-Bathymetric_map_of_Sea_of_Galilee.jpg&w=640&q=50)
Ziwa Galilaya
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ziwa Galilaya, pia Kinneret, Ziwa la Genesareti, au Ziwa la Tiberia (kwa Kiebrania יָם כִּנֶּרֶת, kwa Kiarabu بحيرة طبريا) ni ziwa lenye umbo la yai kaskazini mwa Israeli. Ni kama kilomita 53 kwa 21 kwa 13.
Ukweli wa haraka Anwani ya kijiografia, Mito ya kuingia ...
Ziwa Galilaya | |
---|---|
![]() | |
Anwani ya kijiografia | 32°50′N 35°35′E |
Mito ya kuingia | Mto Yordani na makorongo kadhaa[1] |
Mito ya kutoka | Mto Yordani na uvukizaji |
beseni | km2 2 730 (sq mi 1 050)[2] |
Nchi za beseni | Palestine, Syria, Lebanon, Israel |
Urefu | km 21 (mi 13) |
Upana | km 13 (mi 8.1) |
Eneo la maji | km2 166 (sq mi 64) |
Kina cha wastani | m 25.6 (ft 84) |
Kina kikubwa | m 43 (ft 141) |
Mjao | km3 4 (cu mi 0.96) |
Muda wa maji kukaa ziwani miaka | 5 years year |
Urefu wa pwani (km) | km 53 (mi 33) |
Kimo cha uso wa maji juu ya UB | -m 212.07 (ft 695.8) |
Visiwa | 2[Insiyokaminika] |
Miji mikubwa ufukoni | Tiberias, Tel Katzir |
Marejeo | [1][2] |
1 Shore urefu is not a well-defined measure. |
Funga
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/9b/Lake_Tiberias_%28Sea_of_Galilee%29%2C_Northern_Israel.jpg/640px-Lake_Tiberias_%28Sea_of_Galilee%29%2C_Northern_Israel.jpg)
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/a9/JordanRiver_en.svg/640px-JordanRiver_en.svg.png)
Eneo linafikia pengine kilomita mraba 166.7 na kina chake mita 43.[3]
La pekee ni kwamba liko chini ya usawa wa bahari (mita 209-215),[4] hivyo ni ziwa la maji baridi lililoko chini kuliko yote duniani. Bahari ya Chumvi tu liko chini zaidi.[5]
Maji yake yanategemea kwa kiasi kikubwa mto Yordani ambao unaingia kaskazini na kutoka tena kusini mwa ziwa hilo.
Umaarufu wa ziwa hilo unatokana hasa na Yesu kulitembelea na kulivuka mara nyingi, inavyoelezwa na Injili zote nne.