Ziggy Marley
From Wikipedia, the free encyclopedia
David Nesta "Ziggy" Marley (alizaliwa 17 Oktoba 1968)[1][2] ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwigizaji na mfadhili kutoka Jamaika.
Ni mtoto wa msanii maarufu wa reggae Bob Marley na Rita Marley.Aliongoza bendi ya familia Ziggy Marley na Melody Makers hadi 2002, ambao alitoa nao albamu nane studio.Baada ya kuachana na bendi ya famillia Ziggy alifanikiwa kutoa albamu nane zake binafsi.[3][4]