Wizara ya Kilimo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Wizara ya Kilimo (kwa Kiingereza: Ministry of Agriculture) ni wizara mpya inayojitegemea ya serikali ya awamu ya tano nchini Tanzania iliyopatikana baada ya kuvunjwa kwa wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi na kutengeneza wizara mbili tofauti: Wizara ya Kilimo na Wizara ya Mifugo na uvuvi. Ndivyo alivyoamua Rais John Pombe Joseph Magufuli tarehe 7 Oktoba 2017.
Ukweli wa haraka Wizara ya Kilimo English: Ministry of Agriculture, Mamlaka ...
Wizara ya Kilimo English: Ministry of Agriculture | |
---|---|
Mamlaka | Tanzania |
Makao Makuu | Samora Avenue,Dar es Salaam |
Waziri | Dkt. Charles John Tizeba |
Naibu Waziri | Dkt. Mary Machuche Mwanjelwa |
Tovuti | mem.go.tz |
Funga