Wiliamu wa Malavalle
From Wikipedia, the free encyclopedia
Wiliamu wa Malavalle (pia: Wiliamu Mkuu; alifariki Grosseto, Italia, 10 Februari 1157) baada ya kuongoka alikuwa mkaapweke kutoka Poitiers, Ufaransa, ambaye alipata wafuasi wengi walioanzisha konventi hadi Ubelgiji kwa jina la shirika la Mt. Wiliamu[1].
Alitangazwa mtakatifu na Papa Inosenti III tarehe 8 Mei 1202.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Februari[2].