Wilaya ya Illizi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Illizi (Kiarabu: ولاية اليزي) ni jina la wilaya ya mjini kusini-mashariki mwa kona ya nchi ya Algeria. Jimbo limepewa jina kwa kufuatia mji wake mkuu unaoitwa hivyohivyo Illizi.
Ukweli wa haraka
Jimbo la Illizi | |
ولاية اليزي | |
Ramani ya Algeria imekoozeshwa katika Jimbo la Illizi | |
Kodi ya Jimbo | 33 |
Kodi ya Eneo | +213 (0) 29 |
Ngazi ya Utawala | |
Wilaya | 6 |
Manispaa | 3 |
Liwali | Mr. Boualem Tiffour |
Rais wa Bunge | Mr. Abdelkader Benhoued |
Takwimu za Msingi | |
Eneo | 285,000 km² (110,040 sq mi) |
Idadi ya wakazi | 54,490[1] (2008) |
Density | 0.2/km² (0.5/sq mi) |
Funga
Jimbo limepakana na Libya kwa upande wa mashariki, Jimbo la Ouargla kwa upande wa kaskazini, na Jimbo la Tamanghasset kwa upande wa mashariki na kusini.