Wilaya ya Bouaflé
Wilaya ya Cote d'Ivoire / From Wikipedia, the free encyclopedia
Wilaya ya Bouaflé (kwa Kifaransa: département de Bouaflé) ni moja kati ya Wilaya tatu za Mkoa wa Marahoué ulioko Magharibi mwa Cote d'Ivoire.
auto
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Wilaya ya Bouaflé | |
Eneo la Wilaya ya Bouaflé. | |
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Sassandra-Marahoué |
Mkoa | Marahoué |
Serikali[1] | |
- Prefect | Gbamele Kouame Adrien |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 409,683 |
GMT | (UTC+0) |
Funga
Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 409,683.
Makao makuu ya eneo hilo ni Bouaflé.
Wilaya ya Bouaflé sasa imegawanywa katika kata zifuatazo: