Mkoa wa Marahoué
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Marahoué (kwa Kifaransa: Région de la Marahoué) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
auto
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Mkoa wa Marahoué | |
Mahali pa Mkoa wa Marahoué (kijani) katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Sassandra-Marahoué |
|
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Sassandra-Marahoué |
Serikali[1] | |
- Prefect | Gbamele Kouame Adrien |
- Rais wa Baraza | Abi Koffi Richmond |
Eneo[2] | |
- Jumla | 4,222,48 km² |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 862,344 |
GMT | (UTC+0) |
Funga
Uko katika Magharibi ya Kati ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Bouaflé. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 862,344.