From Wikipedia, the free encyclopedia
Wilaya ya Bariadi ni wilaya mojawapo kati ya 6 za Mkoa wa Simiyu, yenye postikodi namba 39100 [1].
Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 422,916 [2] Katika sensa ya mwaka 2022, baada ya Bariadi Mjini kutengwa, wakazi walihesabiwa 383,385 [3].
Misimbo ya posta ya wilaya hii inaanza kwa 391xx.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.