Wilaya ya Cote d'Ivoire From Wikipedia, the free encyclopedia
Wilaya ya Agboville (kwa Kifaransa: département d'Agboville) ni moja kati ya Wilaya nne za Mkoa wa Agnéby-Tiassa ulioko kusini-mashariki mwa Cote d'Ivoire.
auto
Wilaya ya Agboville | |
Eneo la Wilaya ya Agboville. | |
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Lagunes |
Mkoa | Agnéby-Tiassa |
Serikali[1] | |
- Prefect | Anatole-Privat Bako Digbe |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 292,109 |
GMT | (UTC+0) |
Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 292,109.
Makao makuu ya eneo hilo ni Agboville.
Wilaya ya Agboville sasa imegawanywa katika tarafa zifuatazo:
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.