From Wikipedia, the free encyclopedia
Virgin Records ni studio ya kurekodia muziki kutoka Uingereza. Studio ilianzishwa na makabaila wa Kiingereza, Richard Branson, Simon Draper, na Nik Powell kunako mwaka wa 1972. Studio baadaye iliuzwa kwa kampuni ya Thorn EMI, na kisha baadaye, wakiwa Marekani, iliungana na studio ya Capitol Records kunako mwaka wa 2006 kwa lengo la kuanzisha studio ya Capitol Music Group.[1]
Virgin Records | |
---|---|
Virginlogo.jpg | |
Shina la studio | EMI |
Imeanzishwa | 1972 |
Mwanzilishi | Richard Branson |
Usambazaji wa studio | Capitol Music Group (katika Marekani) EMI Music Distribution |
Aina za muziki | Mbalimbali |
Nchi | Uingereza |
Tovuti | Tovuti Rasmi ya Virgin Records |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.