From Wikipedia, the free encyclopedia
Vielezi vya mahali (alama yake ya kiisimu ni: E) ni maneno yanayofafanua kielezi kwa kujulisha mahali ambapo kitenzi hicho kinatendeka/kimetendeka.
Mifano |
---|
|
Vielezi vya mahali hujengwa kwa kuambikwa (kuambikwa = kuambatanishwa) NI mwishoni mwa nomino inayokubali upatanisho wa kisarufi baada ya kuongezewa hiyo ni mwishoni mwake.
Na. | Nomino | Kielezi |
---|---|---|
1 | Shamba | Shambani |
2 | Duka | Dukani |
3 | Darasa | Darasani |
4 | Mkono | Mkononi |
5 | Choo | Chooni |
6 | Sikio | Sikioni |
7 | Kitanda | Kitandani |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vielezi vya mahali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.