From Wikipedia, the free encyclopedia
Kitenzi kikuu (alama yake ya kiisimu ni: T) ni kitenzi ambacho hutoa wazo kwa tendo ambalo linatendwa na nomino au kiwakilishi cha nomino. Mara nyingi kitenzi kikuu hukaa peke yake katika sentensi na hutoa taarifa kamili bila ya kuhitaji msaada wa kitenzi kingine.
Mifano |
---|
|
Mfano: Mama anakula
Mfano: Mimi ninakimbia (uyakinishi) Wewe hutaimba wimbo huu (ukanushi)
Mfano: Wa- ta- mu- on-a
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitenzi kikuu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.