Uwanja wa michezo wa jiji la Buffalo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uwanja wa michezo wa jiji la Buffalo (ambapo ulikuwa ukijulikana kama uwanja wa michezo wa BCM) ni uwanja wenye matumizi mengi huko mashariki ya London, Afrika Kusini. Mara nyingi umekuwa ukitumika kwa mechi nyingi za michezo ya Ragby na ni uwanja wa nyumbani wa watu wa mipakani. Uwanja huo una uwezo wa kuingiza watu wapatao elfu kumi na sita (16,000).
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/8/80/Buffalo_Stadium_facade%2C_1948.jpg/320px-Buffalo_Stadium_facade%2C_1948.jpg)
Uwanja huo umepewa majina matatu. Jina lake halisi ulikuwa ukijulikana kama viwanja vya muungano wa Ragby, ambapo ukabadilishwa jina na kuwa uwanja wa Basil Kenyon, baada ya mchezaji Springbok ambaye aliongoza mashindano ya Springbok kwa miezi mitatu huko Uingereza mnamo mwaka 1951. Pia ulijulikana kama uwanja wa mchezo wa ABSA, kwa ajili ya maswala ya ufadhili.[1][2]
Mnamo tarehe 26 Juni, 2010, Uwanja wa BCM iliandaa mechi ya majaribio kati ya Italia na Afrika Kusini.