Uwanja wa michezo Kigali
Arena, Kigali nchini Rwanda / From Wikipedia, the free encyclopedia
Uwanja wa michezo Kigali Arena ni uwanja uliopo katika jiji la Kigali nchini Rwanda unatumika sana kwa ajili ya michezo ya mpira wa kikapu. Uwanja huu ulikamilika kujengwa mnamo mwaka 2019 na unapatikana karibu na uwanja wa Amahoro Stadium.[1]