Mwanasiasa kutoka Rwanda From Wikipedia, the free encyclopedia
Paul Kagame (amezaliwa 23 Oktoba 1957) ni Rais aliyepo madarakani nchini Rwanda.
Paul Kagame | |
Aliingia ofisini 24 Machi 2000 Acting: 24 Machi 2000 – 22 Aprili 2000 | |
Waziri Mkuu | Bernard Makuza Pierre Habumuremyi |
---|---|
mtangulizi | Pasteur Bizimungu |
tarehe ya kuzaliwa | 23 Oktoba 1957 Tambwe, Ruanda-Urundi (sasa Nyarutovu, Rwanda) |
chama | Rwandan Patriotic Front |
ndoa | Jeannette Nyiramongi |
watoto | Ivan Cyomoro Ange Ian Brian |
dini | Kanisa Katoliki |
Ijapokuwa ni mmoja kati ya mwanajumuiya ya Watusi, ameonekana kuuanganisha Utusi wake. Huyu ndiye mhusika mkuu wa kuondosha Uhutu na Utusi na vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo (Mauaji ya kimbari ya Rwanda).
Hata hivyo, mara nyingi anatazamwa kama dikteta kwa kuwa na rekodi mbaya ya ukiukaji wa haki za binadamu.
Kagame ameweka kipaumbele katika maendeleo ya taifa, akilenga kufanya Rwanda isiwe tena kati ya nchi maskini kufikia mwaka 2020. Kweli nchi imepiga hatua kubwa katika masuala mengi, kama vile afya, teknolojia na elimu. Kati ya miaka 2004 na 2010 pato liliongezeka 8% kwa mwaka.
Uhusiano na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo si mzuri, hata baada ya vita kusimamishwa rasmi mwaka 2003; asasi za kutetea haki za binadamu zinadai Rwanda inaendelea kutegemeza makundi ya waasi ili kufaidika na maliasili ya nchi hiyo jirani, ingawa Kagame anakanusha.
Ofisi za Kisiasa | ||
---|---|---|
Alitanguliwa na Augustin Bizimana |
Waziri wa Ulinzi 1994–2000 |
Akafuatiwa na Emmanuel Habyarimana |
New office | Makamu wa Rais wa Rwanda 1994–2000 |
Position abolished |
Alitanguliwa na Pasteur Bizimungu |
Rais wa Rwanda 2000–sasa |
Incumbent |
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Paul Kagame kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.