UtakatifuFrom Wikipedia, the free encyclopedia Utakatifu (kutoka kitenzi "kutakata") ni ule usafi wa pekee wa Mwenyezi Mungu mwenyewe asiye na mawaa. Qodeš l-Yahweh, "Mtakatifu kwa Yahweh", mwandiko uliovaliwa na kuhani mkuu katika paji la uso. Kwa binadamu ni hali ya ukamilifu katika kuepukana na dhambi, na hivyo kuwa karibu na Mungu.
Utakatifu (kutoka kitenzi "kutakata") ni ule usafi wa pekee wa Mwenyezi Mungu mwenyewe asiye na mawaa. Qodeš l-Yahweh, "Mtakatifu kwa Yahweh", mwandiko uliovaliwa na kuhani mkuu katika paji la uso. Kwa binadamu ni hali ya ukamilifu katika kuepukana na dhambi, na hivyo kuwa karibu na Mungu.