Ulysses S. Grant
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ulysses Grant (27 Aprili 1822 – 23 Julai 1885) alikuwa Rais wa 18 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1869 hadi 1877. Alikuwa na Kaimu Rais wawili, kwanza Schuyler Colfax (1869-73), halafu Henry Wilson (1873-75).
Ukweli wa haraka 18 Rais wa Marekani, Makamu wa Rais ...
Ulysses S. Grant | |
Muda wa Utawala Machi 4, 1869 – Machi 4, 1877 | |
Makamu wa Rais | Schuyler Colfax (1869–1873) Henry Wilson (1873–1875) Hapakuwa na naibu (1875–1877) |
mtangulizi | Andrew Johnson |
aliyemfuata | Rutherford B. Hayes |
tarehe ya kuzaliwa | (1822-04-27)Aprili 27, 1822 Point Pleasant, Ohio, Marekani |
tarehe ya kufa | 23 Julai 1885 (umri 63) Wilton, New York, Marekani |
mahali pa kuzikiwa | Grant's Tomb, New York City |
chama | Republican |
ndoa | Julia Dent (m. 1848) «start: (1848-08-22)»"Marriage: Julia Dent to Ulysses S. Grant" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Ulysses_S._Grant) |
watoto | *Frederick Dent Grant
|
mhitimu wa | United States Military Academy (Bachelor of Science) |
signature |
Funga