Andrew Johnson
From Wikipedia, the free encyclopedia
Andrew Johnson (29 Desemba 1808 – 31 Julai 1875) alikuwa Rais wa 17 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1865 hadi 1869. Alianza kama Kaimu Rais wa Abraham Lincoln na kumfuata Lincoln alipouawa.
Ukweli wa haraka 17 Rais wa Marekani, mtangulizi ...
Andrew Johnson | |
Muda wa Utawala Aprili 15, 1865 – Machi 4, 1869 | |
mtangulizi | Abraham Lincoln |
aliyemfuata | Ulysses S. Grant |
tarehe ya kuzaliwa | (1808-12-29)Desemba 29, 1808 Raleigh, North Carolina |
tarehe ya kufa | 31 Julai 1875 (umri 66) Elizabethton, Tennessee |
mahali pa kuzikiwa | Andrew Johnson National Cemetery Greeneville, Tennessee |
chama | Democratic |
ndoa | Eliza McCardle Johnson (m. 1827) «start: (1827-05-17)»"Marriage: Eliza McCardle Johnson to Andrew Johnson" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Andrew_Johnson) |
watoto | 5 |
Fani yake | Fundi wa kushona nguo |
signature |
Funga