UjanaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Ujana ni kipindi cha maisha kati ya utoto na utu uzima.[1][2] Askari Mnaijeria na marafiki wake. Unaelezwa kama kipindi cha ustawi wa mwili na wa nafsi tangu mwanzo wa ubalehe kwa ukomavu hadi mwanzoni mwa utu uzima.
Ujana ni kipindi cha maisha kati ya utoto na utu uzima.[1][2] Askari Mnaijeria na marafiki wake. Unaelezwa kama kipindi cha ustawi wa mwili na wa nafsi tangu mwanzo wa ubalehe kwa ukomavu hadi mwanzoni mwa utu uzima.