UbaleheFrom Wikipedia, the free encyclopedia Ubalehe (pia: Ubaleghe[1]) ni jumla ya mabadiliko ya mwili na ya roho yanayomfanya mtoto kuwa kijana halafu mtu mzima. Ndevu kwa kawaida zinaanza kuota wakati wa mtoto wa kiume kubalehe.
Ubalehe (pia: Ubaleghe[1]) ni jumla ya mabadiliko ya mwili na ya roho yanayomfanya mtoto kuwa kijana halafu mtu mzima. Ndevu kwa kawaida zinaanza kuota wakati wa mtoto wa kiume kubalehe.