Stella Martin ManyanyaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Stella Martin Manyanya (amezaliwa tarehe 4 Agosti 1962) ni mbunge wa viti maalumu katika bunge la taifa nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Stella Martin Manyanya (amezaliwa tarehe 4 Agosti 1962) ni mbunge wa viti maalumu katika bunge la taifa nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.