Solange
From Wikipedia, the free encyclopedia
Solange (Sainte-Solange, Cher, leo nchini Ufaransa, 863 hivi - 10 Mei 878 hivi) alikuwa bikira Mkristo mzuri sana aliyekatwa kichwa na mwanamume aliyeshindwa kumpata kimapenzi[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu bikira na mfiadini.