Snoop Doggy
From Wikipedia, the free encyclopedia
Cordozar Calvin Broadus, Jr (amezaliwa, 20 Oktoba 1971) ni rapa wa kimarekani, mtunzi na mtayarishaji wa muziki, mjasiriamali na pia muigazaji wa filamu. Alipata umaarufu kama Snoop Dogg, mwanzoni walikuwa wakimuita Snoop Dogg Doggy.
Ukweli wa haraka Amezaliwa, Kazi yake ...
Snoop Doggy | |
---|---|
Snoop Dogg akiwa mjini Hawaii, 2005 | |
Amezaliwa | Calvin Cordozar Broadus, Jr. 20 Oktoba 1971 (1971-10-20) (umri 52) |
Kazi yake | |
Miaka ya kazi | 1992–hadi sasa |
Ndoa | Shante Taylor (m. 1997–2004) «start: (1997)–end+1: (2005)»"Marriage: Shante Taylor to Snoop Doggy" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Snoop_Doggy) (m. 2008–present) «start: (2008)»"Marriage: to Snoop Doggy" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Snoop_Doggy) |
Watoto | 4 |
Ndugu | Brandy Norwood (binamu)
Ray J (binamu) Sasha Banks (binamu) |
Musical career | |
Ala | Sauti |
Studio | |
Ameshirikiana na | |
Wavuti | snoopdogg.com |
Funga
Akiwa anawakilisha kikosi cha West Coast Hip Hop, pamoja na mshirika wake wa karibu Dr. Dre ambaye ndiye aliyesababisha Snoop kuwa hapo alipofikia. Snoop kuna misemo yake ambayo imezoleka sana midomoni mwa watu vile akisema 'fo' Shizzle, manizzle, akimanisha, kweli ndugu yangu, useme huo ulibuniwa na mwanamuziki maarufu wa huko huko nchini Marekani Frank Smith & the Band, mnamo miaka ya 80 hivi.