KurapFrom Wikipedia, the free encyclopedia Kurap (pia inajulikana kama uemsii, MC, mashairi, au kufokafoka) ni tungo zinazoongelewa kwa kuiwakilisha mistari, au mtindo wa fokafoka, kuchezesha maneno, na mashairi, ni moja kati ya chembechembe za utamaduni wa muziki wa hip hop.
Kurap (pia inajulikana kama uemsii, MC, mashairi, au kufokafoka) ni tungo zinazoongelewa kwa kuiwakilisha mistari, au mtindo wa fokafoka, kuchezesha maneno, na mashairi, ni moja kati ya chembechembe za utamaduni wa muziki wa hip hop.