![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/ce/Shane_Filan.jpg/640px-Shane_Filan.jpg&w=640&q=50)
Shane Filan
From Wikipedia, the free encyclopedia
Shane Steven Filan (amezaliwa tar. 5 Julai 1979) ni msanii wa muziki wa pop kutoka nchini Ireland. Huyu ndiye mwimbaji kiongozi wa kundi la Westlife. Filan ni moja ya waimbaji watano wa asili wa kundi la hili, akiwa na wenzake, Kian Egan, Mark Feehily na Nicky Byrne na aliyekuwa mwenzao Brian McFadden.
Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Jina la kuzaliwa ...
Shane Filan | |
---|---|
![]() Shane Filan | |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Shane Steven Filan |
Amezaliwa | 5 Julai 1979 (1979-07-05) (umri 45) |
Asili yake | Sligo, Ireland |
Aina ya muziki | Pop |
Kazi yake | Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo |
Ala | Sauti |
Aina ya sauti | Baritone |
Miaka ya kazi | 1998–mpaka sasa |
Studio | SonyBMG UK/Ireland |
Ame/Wameshirikiana na | Westlife |
Funga