Sean Kingston
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kisean Anderson (amezaliwa tar. 3 Februari 1990 mjini Miami, Florida, Marekani) anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Sean Kingston, ni rapa na mwimbaji wa raggae wa Kijamaika-Marekani. Japokuwa, Sean alizaliwa Marekani, lakini makuzi yake yote yalikuwa mjini Kingston, Jamaika, aliondoka Marekani akiwa na umri wa miaka sita. Jina hilo analo tumia la "Sean Kingston" amemaanisha kuwa kama anatoa heshima kwa Kingston, Jamaika. Sean vile vle ana urafiki mkubwa na baadhi ya waimba Reggae maarufu nchini Jamaika (Buju Banton) ambaye pia ndiye aliyemshauri Sean kujiusisha na maswala ya muziki.
Ukweli wa haraka Sean Kingston ...
Sean Kingston | |
---|---|
| |
Jina Kamili | {{{jina kamili}}} |
Jina la kisanii | Sean Kingston |
Nchi | Marekani-Jamaika |
Alizaliwa | 3 Februari 1990 |
Aina ya muziki | Reggae pop pop rap |
Kazi yake | Mwanamuziki |
Miaka ya kazi | 2007 - hadi leo |
Ameshirikiana na | Buju Banton J. R. Rotem Paula DeAnda |
Kampuni | Beluga Heights Epic Koch |
Funga