Samora Machel
From Wikipedia, the free encyclopedia
Samora Moisés Machel (29 Septemba 1933 – 19 Oktoba 1986) alikuwa mwanamapinduzi, kiongozi wa kijeshi na mwanasiasa wa Msumbiji. Baada ya miaka ya vita ya kupigania uhuru wa nchi kutoka Ureno, alihudumu kama Rais wa kwanza wa Msumbiji kutoka uhuru wa nchi hiyo mnamo 1975.
Ukweli wa haraka 1st Rais wa Kwanza wa Msumbiji, aliyemfuata ...
Samora Machel | |
1st Rais wa Kwanza wa Msumbiji | |
---|---|
Muda wa Utawala 25 Juni 1975 – 19 Oktoba 1986 | |
aliyemfuata | Joaquim Chissano |
Mwenyekiti wa FRELIMO | |
Muda wa Utawala 1970 – 19 Oktoba 1986 | |
mtangulizi | Eduardo Mondlane |
aliyemfuata | Joaquim Chissano |
tarehe ya kuzaliwa | (1933-09-29)Septemba 29, 1933 Mkoa wa Gaza, Msumbiji wa Kireno |
tarehe ya kufa | 19 Oktoba 1986 (umri 53) Mbuzini, Milima ya Lebombo , Afrika Kusini |
jina ya kuzaliwa | Samora Moisés Machel |
utaifa | Msumbiji |
chama | FRELIMO |
ndoa | Josina Mutemba Graça Simbine (1975–1986) |
Funga
Machel alikufa madarakani mnamo 1986 wakati ndege yake ilianguka karibu na mpaka wa Msumbiji - Afrika Kusini.