Same Mjini
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Same ni mji mdogo na makao makuu ya Wilaya ya Same katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania.
Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2022, kata ilikuwa na wakazi wapatao 10,220 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 9,490 [2] walioishi humo.
Same iko mguuni pa Milima ya Pare Kusini kwenye barabara kuu kati ya Kilimanjaro na pwani.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.