Rufilo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Rufilo (karne ya 4 - karne ya 5) alikuwa Mkristo ambaye anatajwa kama askofu wa kwanza wa Forlimpopoli (Italia Kaskazini) aliyepinga sana Uario na kuleta Wapagani wote wa eneo lake kwenye imani ya Kikristo [1].
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/2/29/San_rufillo.jpg)
Alifariki akiwa na umri wa miaka 90.
Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.