Priska wa Roma
From Wikipedia, the free encyclopedia
Priska wa Roma (alifariki karne ya 3) alikuwa Mkristo wa jiji hilo anayeheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu mfiadini ingawa habari zake zinachanganya wanawake wa karne tofauti.[1]
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/6/67/Santa_prisca.jpg)
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Januari[2].