Potwe ni kata ya Wilaya ya Muheza katika Mkoa wa Tanga, Tanzania.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 5,874 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 5,812 [2]

Msimbo wa posta ni 21429.

Elimu

Kata ya Potwe ina shule za msingi 4 ambazo ni: Kimbo S/m, Potwe S/m, Potwe Mpirani S/m na Zeneth S/m.

Kama ilivyo katika kata nyingine nchini Tanzania kata ya Potwe ina shule 1 ya sekondari ijulikanayo Kwa jina la Potwe Day Sekondari. Mwaka 2019 shule ilikuwa na jumla ya wanafunzi 288, kati yao wavulana 128 na wasichana 160.

Marejeo

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.