Mwanamuziki wa Uingereza, mtunzi na mtunzi wa nyimbo (aliyezaliwa 1950) From Wikipedia, the free encyclopedia
Peter Brian Gabriel (amezaliwa 13 Februari 1950) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo Mwingereza. Alikuwa maarufu kama mwimbaji na mchezaji wa filimbi katika kundi la rock la Genesis. [1]
Baada ya kutoka Genesis, Gabriel aliendelea na kazi yake binafsi. Hivi majuzi ametumia wakati wake kutunga na kupiga muziki inayotumia staili za tamaduni mbalimbai duniani ("world music"). Alikazia njia za usambazaji wa kidijiti kwa muziki yake. Ameshiriki pia katika juhudi mbali mbali za tamasha ya kifadhila. Gabriel alipewa Tuzo la Polar Music Prize mnamo 2009. Pia ameingizwa kwenye Rock and Roll Hall of Fame mnamo 2014.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.