Papa Pius XII
From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Pius XII (2 Machi 1876 – 9 Oktoba 1958) alikuwa Papa kuanzia tarehe 2 Machi/12 Machi 1939 hadi kifo chake. Alitokea nchi ya Italia[1]. Alitokea Roma, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Eugenio Maria Guiseppe Giovanni Pacelli.
Alimfuata Papa Pius XI na kuvishwa taji la Kipapa tarehe 12 Machi 1939. Akafuatwa na Papa Yohane XXIII.