Papa Innocent IV
From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Innocent IV (1180/1190 – 7 Desemba 1254) alikuwa Papa kuanzia tarehe 25/28 Juni 1243 hadi kifo chake[1]. Alitokea Genova, Liguria, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Sinibaldo Fieschi.
Alimfuata Papa Selestini IV akafuatwa na Papa Aleksanda IV.