Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Paa |
|
Uainishaji wa kisayansi |
Himaya: |
Animalia (Wanyama)
|
Faila: |
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
|
Ngeli: |
Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
|
Oda: |
Artiodactyla (Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
|
Nusuoda: |
Ruminantia (Wanyama wanaocheua)
|
Familia: |
Bovidae (Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe) J. E. Gray, 1821 |
Nusufamilia: |
Cephalophinae (Wanyama wanaofanana na paa) J. E. Gray, 1871 |
|
Ngazi za chini |
Jenasi 3, spishi 21:
- Cephalophus C. H. Smith, 1827
- C. adersi Thomas, 1918
- C. brookei (Thomas, 1903)
- C. callipygus Peters, 1876
- C. dorsalis Gray, 1846
- C. harveyi Thomas, 1893
- C. jentinki Thomas, 1892
- C. leucogaster Gray, 1873
- C. natalensis Smith, 1834
- C. niger Gray, 1846
- C. nigrifrons Gray, 1871
- C. ogilbyi (Waterhouse, 1838)
- C. rubidus Thomas, 1901
- C. rufilatus Gray, 1846
- C. spadix True, 1890
- C. silvicultor (Afzelius, 1815)
- C. weynsi Thomas, 1901
- C. zebra Gray, 1838
- Philantomba Blyth, 1840
- P. maxwellii (C.H. Smith, 1827)
- P. monticola (Thunberg, 1789)
- P. walteri <smallColyn et al., 2010
- Sylvicapra Ogilby, 1837
|
Funga
Paa (ing. duiker; huitwa pia: Nsya, Sylvicapra grimmia; Mindi, Cephalophus spadix; Funo, Cephalophus natalensis; na Chesi, Philantomba monticola) ni jina la kawaida kwa wanyama wadogo wa Afrika wanaofanana na swala na walio na pembe fupi. Huainishwa katika nususfamilia Cephalophinae ya familia Bovidae. Paa-chonge ni wanyama wengine katika familia Tragulidae.