![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/3/35/Detail._Fire_mudbrick%252C_stamped._The_cuneiform_inscription_mentions_the_name_and_titles_of_Nebuchadnezzar_II%252C_king_of_Babylon%252C_r._604-561_BCE._From_Babylon%252C_Iraq._British_Museum.jpg/640px-thumbnail.jpg&w=640&q=50)
Nebukadreza II
From Wikipedia, the free encyclopedia
Nebukadreza II (642 KK hivi – 7 Oktoba 562 KK) alikuwa mfalme bora wa Babeli katika karne ya 6 KK.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/3/35/Detail._Fire_mudbrick%2C_stamped._The_cuneiform_inscription_mentions_the_name_and_titles_of_Nebuchadnezzar_II%2C_king_of_Babylon%2C_r._604-561_BCE._From_Babylon%2C_Iraq._British_Museum.jpg/640px-thumbnail.jpg)
Alitawala sehemu kubwa ya Mashariki ya kati kuanzia Agosti 605 KK mpaka tarehe 7 Oktoba 562 KK.
Ni maarufu hasa kwa sababu aliwahi kuuvunja mji wa Yerusalemu mwaka 587 KK na kuwapeleka sehemu kubwa ya Wayahudi katika uhamisho wa Babeli.
Ndiye aliyejenga bustani za kupendeza katika enzi hizo zinazojulikana kama bustani za kuning'inia za Babeli, ambazo ni moja ya maajabu saba ya dunia.