From Wikipedia, the free encyclopedia
Nanjota ni kata ya Wilaya ya Masasi katika Mkoa wa Mtwara, Tanzania.
Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2022, kata ilikuwa na wakazi wapatao 5,151 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 9,094 waishio humo.[2]
Jina Nanjota limetokana na neno "Njota" na huu ni msamiati wa lugha ya Kiyao wenye maana ya "kuwa na kiu".
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.