Mwai Kibaki
Rais mstaafu wa Kenya (1931-2022) / From Wikipedia, the free encyclopedia
Mwai Kibaki (1931-2022) alikuwa rais wa tatu wa Jamhuri ya Kenya kuanzia mwaka 2002 hadi 2013 akiwa ametanguliwa na Rais wa Kwanza wa Kenya, Mzee Jomo Kenyatta na rais wa pili Daniel Arap Moi. Jina lake la kubatizwa ni Emilio Stanley .[1]
Ukweli wa haraka
| |
Rais wa tatu wa Kenya 30 Desemba 2002 – 9 Aprili 2013 | |
Jimbo la uchaguzi | Othaya |
Tarehe ya kuzaliwa | 15 Novemba 1931 |
Mahali pa kuzaliwa | kijiji cha Gatuyaini, tarafa ya Othaya, wilaya ya Nyeri |
Tarehe ya kifo | 21 April 2022 |
Chama | hadi 1991 KANU, halafu DP, 2002 NARC |
Alingia ofisini | 2002 |
Alitanguliwa na | Daniel arap Moi |
Dini | Mkristo Mkatoliki |
Elimu yake | chuo kikuu cha Makerere, LSE London |
Digrii anazoshika | M.Sc. (Public Finance) |
Kazi | mwalimu wa chuo, mwanasiasa |
Funga