Kenya African National UnionFrom Wikipedia, the free encyclopedia Kenya African National Union au KANU ni chama cha kisiasa nchini Kenya. KANU ilikuwa chama tawala cha nchi tangu uhuru katika mwaka 1963 hadi kushindwa katika uchaguzi wa 2002.
Kenya African National Union au KANU ni chama cha kisiasa nchini Kenya. KANU ilikuwa chama tawala cha nchi tangu uhuru katika mwaka 1963 hadi kushindwa katika uchaguzi wa 2002.