Mto Ogowe
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mto Ogowe (au Ogooué) ndio mto muhimu zaidi wa Gabon, na ni wa nne kwa wingi wa maji barani Afrika (baada ya mto Kongo, mto Niger na mto Zambezi)[1].
Chanzo chake ni katika Jamhuri ya Kongo na delta yake kubwa ni kwenye ghuba ya Guinea (bahari ya Atlantiki).