![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/f9/Lugenda_River.png/640px-Lugenda_River.png&w=640&q=50)
Mto Lugenda, Msumbiji
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mto Lugenda (pia Lujenda au Msambiti[1]) ni mto unaotiririka kaskazini mwa Msumbiji.
Ukweli wa haraka
Chanzo | Ziwa Amaramba |
Mdomo | Mto Ruvuma |
Urefu | km |
Kimo cha chanzo | m |
Mkondo | m3 |
Eneo la beseni | km2 |
Funga
Unaanza kwenye Ziwa Amaramba/Ziwa Chiuta na kuishia katika Mto Ruvuma ikiwa ni tawimto kubwa lake zaidi[2]. Unaungana na Mto Luambala pale 13°26′12″S 36°18′20″E.
Upande wa kaskazini wa Ziwa Chiuta wakazi huuita Msambiti.[1] Lugenda hugawiwa sasa ka mikono tofauti yenye visiwa mbalimbali kati yao, vingine vikiwa na makazi ya watu kama vile kisiwa cha Achemponda.[3]
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/fc/Bridge_over_the_Lugenda.jpg/640px-Bridge_over_the_Lugenda.jpg)
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/1/19/2014_Lugenda_River-3.jpg/640px-2014_Lugenda_River-3.jpg)
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/8/8c/2014_Lugenda_River-2.jpg/640px-2014_Lugenda_River-2.jpg)
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/4b/2014_Lugenda_River-5.jpg/640px-2014_Lugenda_River-5.jpg)
Kuna tembo wengi katika bonde la Lugenda. Wakazi ni hasa Wayao na Wamakua, pamoja na Wangoni, Wamaravi na Wamatambwe.[4]