Mtindo wa Kiroma
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mtindo wa Kiroma (kwa Kiingereza Romanesque architecture) katika usanifu majengo ni mtindo sahili wa Karne za Kati ulioenea kote Ulaya.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/e/e8/Tournai_JPG001.jpg/640px-Tournai_JPG001.jpg)
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/3/3e/Angouleme_cathedral_StPierre_a.jpg/640px-Angouleme_cathedral_StPierre_a.jpg)
Ulianza kati ya karne ya 6 na karne ya 10 (kadiri ya maoni tofauti), halafu katika karne ya 12 ulizaa mtindo wa Kigothi.
Unaunganisha sifa za majengo mengi ya Roma na ya Bizanti.