From Wikipedia, the free encyclopedia
Wilaya ya Mpanda ilikuwa wilaya moja ya Mkoa wa Rukwa, Tanzania hadi mwaka 2012 yenye postikodi namba 50100. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 412,683 Archived 20 Machi 2004 at the Wayback Machine..
Mwaka 2012 wilaya ikahamishwa kwenda mkoa mpya wa Katavi. Mwaka uleule maeneo yake yaligawiwa kati ya wilaya ya Mpanda Vijijini na wilaya ya Mpanda Mjini.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.