Mnyoo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Minyoo ni wanyama wa aina za invertebrata zenye mwili laini, mrefu na mwembamba bila miguu. Huainishwa katika faila mbalimbali kama vile Nematoda, Annelida, Hemichordata na Platyhelminthes.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Mnyoo | ||||
---|---|---|---|---|
Mnyoo-matumbo mkubwa (Ascaris lubricoides) | ||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||
| ||||
Ngazi za chini | ||||
Faila 4: | ||||
Funga
Mifano ya minyoo ni kama ifuatayo:
- Minyoo-bapa
- Minyoo-kichocho
- Minyoo-kuru (kama mnyoo-matumbo mkubwa)
- Mnyoo-mjeledi
- Mnyoo wa Gini
- Daa au mwata
- Daa-mkonga
- Michango
- Nyungunyungu
- Ruba wa ini
- Rusu
- Safura
- Tegu