Mnara wa taa katika Wilaya ya Lobata, Sao Tome and Principle From Wikipedia, the free encyclopedia
Mnara wa taa Lagoa Azul ni mnara wa taa unaopatikana katika rasi ya Lagoa Azul, wilaya ya Lobata iliyopo kaskazini mwa kisiwa cha São Tomé. Unapatikana kilomita 4.5 kutokea kaskazini magharibi mwa Guadalupe na kilomita 15 kutokea kaskazini magharibi mwa mji wa São Tomé. Mnara huu ulijengwa mnamo mwaka 1997 na una urefu wa mita 5.[1]
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.