Mkoa wa Simiyukanda ya Ziwa, Tanzania / From Wikipedia, the free encyclopedia Mkoa wa Simiyu ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania, wenye postikodi namba 39000 [1]. Ulianzishwa rasmi Machi 2012 kwa kumega mkoa wa Shinyanga upande wa mashariki[2]. Mahali pa mkoa nchini Tanzania. Makao makuu yako Bariadi.
Mkoa wa Simiyu ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania, wenye postikodi namba 39000 [1]. Ulianzishwa rasmi Machi 2012 kwa kumega mkoa wa Shinyanga upande wa mashariki[2]. Mahali pa mkoa nchini Tanzania. Makao makuu yako Bariadi.