Mkoa wa Niari
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Niari (pia Niadi [1]) ni mkoa (departement) wa Jamhuri ya Kongo katika sehemu ya magharibi ya nchi.
Unapakana na mikoa za Bouenza, Kouilou, na Lekoumou. Kuna pia mipaka ya kimataifa na Gabon, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na mkoa wa Kabinda wa Angola.
Makao makuu yako mjini Dolisie.